1
Mathayo 4:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini Isa akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’”
Compare
Explore Mathayo 4:4
2
Mathayo 4:10
Isa akamwambia, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’”
Explore Mathayo 4:10
3
Mathayo 4:7
Isa akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Mwenyezi Mungu, Mungu wako.’”
Explore Mathayo 4:7
4
Mathayo 4:1-2
Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi. Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Explore Mathayo 4:1-2
5
Mathayo 4:19-20
Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
Explore Mathayo 4:19-20
6
Mathayo 4:17
Tangu wakati huo, Isa alianza kuhubiri akisema: “Tubuni, kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.”
Explore Mathayo 4:17
Home
Bible
Plans
Videos