1
Zaburi 135:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.
Compare
Explore Zaburi 135:6
2
Zaburi 135:3
Msifuni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.
Explore Zaburi 135:3
3
Zaburi 135:13
Ee Mwenyezi Mungu, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee Mwenyezi Mungu, kwa vizazi vyote.
Explore Zaburi 135:13
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos