1
Zaburi 136:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele.
Compare
Explore Zaburi 136:1
2
Zaburi 136:26
Mshukuruni Mungu wa mbinguni, Fadhili zake zadumu milele.
Explore Zaburi 136:26
3
Zaburi 136:2
Mshukuruni Mungu wa miungu. Fadhili zake zadumu milele.
Explore Zaburi 136:2
4
Zaburi 136:3
Mshukuruni Bwana wa mabwana: Fadhili zake zadumu milele.
Explore Zaburi 136:3
Home
Bible
Plans
Videos