1
Zaburi 137:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza tulipokumbuka Sayuni.
Compare
Explore Zaburi 137:1
2
Zaburi 137:3-4
kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo; watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” Tutaimbaje nyimbo za Mwenyezi Mungu, tukiwa nchi ya kigeni?
Explore Zaburi 137:3-4
Home
Bible
Plans
Videos