1
Zaburi 139:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha; kazi zako ni za ajabu, ninajua hayo kikamilifu.
Compare
Explore Zaburi 139:14
2
Zaburi 139:23-24
Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu. Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.
Explore Zaburi 139:23-24
3
Zaburi 139:13
Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu.
Explore Zaburi 139:13
4
Zaburi 139:16
macho yako yaliniona kabla mwili wangu haujakamilika. Siku zangu zote ulizonipangia ziliandikwa katika kitabu chako kabla haijakuwa hata moja.
Explore Zaburi 139:16
5
Zaburi 139:1
Ee Mwenyezi Mungu, umenichunguza na kunijua.
Explore Zaburi 139:1
6
Zaburi 139:7
Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako?
Explore Zaburi 139:7
7
Zaburi 139:2
Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali.
Explore Zaburi 139:2
8
Zaburi 139:4
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Mwenyezi Mungu.
Explore Zaburi 139:4
9
Zaburi 139:3
Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.
Explore Zaburi 139:3
Home
Bible
Plans
Videos