1
Zaburi 142:5
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee Mwenyezi Mungu, nakulilia wewe, nasema, “Wewe ni kimbilio langu, fungu langu katika nchi ya walio hai.”
Compare
Explore Zaburi 142:5
2
Zaburi 142:7
Nifungue kutoka kifungo changu, ili niweze kulisifu jina lako. Ndipo wenye haki watanizunguka, kwa sababu ya wema wako kwangu.
Explore Zaburi 142:7
3
Zaburi 142:3
Roho yangu inapozimia ndani yangu, wewe ndiwe unajua njia zangu. Katika njia ninayopita, watu wameniwekea mtego.
Explore Zaburi 142:3
4
Zaburi 142:1
Namlilia Mwenyezi Mungu kwa sauti, napaza sauti yangu kwa Mwenyezi Mungu anihurumie.
Explore Zaburi 142:1
5
Zaburi 142:6
Sikiliza kilio changu, kwa sababu mimi ni mhitaji sana; niokoe na wale wanaonifuatilia, kwa kuwa wamenizidi nguvu.
Explore Zaburi 142:6
Home
Bible
Plans
Videos