1
Zaburi 30:5
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, bali upendo wake hudumu siku zote. Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, lakini asubuhi kukawa na furaha.
Compare
Explore Zaburi 30:5
2
Zaburi 30:11-12
Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe, ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee BWANA Mungu wangu, nitakushukuru milele.
Explore Zaburi 30:11-12
3
Zaburi 30:2
Ee BWANA, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.
Explore Zaburi 30:2
4
Zaburi 30:4
Mwimbieni BWANA, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.
Explore Zaburi 30:4
5
Zaburi 30:1
Nitakutukuza wewe, Ee BWANA, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu.
Explore Zaburi 30:1
Home
Bible
Plans
Videos