1
Zaburi 31:24
Neno: Bibilia Takatifu
Kuweni hodari na mjipe moyo, ninyi nyote mnaomtumaini BWANA.
Compare
Explore Zaburi 31:24
2
Zaburi 31:15
Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, uniokoe mikononi mwa adui zangu na wale wanifuatiao.
Explore Zaburi 31:15
3
Zaburi 31:19
Tazama jinsi ulivyo mkuu wema wako, uliowawekea akiba wakuchao, ambao huwapa wale wakukimbiliao machoni pa watu.
Explore Zaburi 31:19
4
Zaburi 31:14
Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee BWANA; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.”
Explore Zaburi 31:14
5
Zaburi 31:3
Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.
Explore Zaburi 31:3
6
Zaburi 31:5
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee BWANA, uliye Mungu wa kweli.
Explore Zaburi 31:5
7
Zaburi 31:23
Mpendeni BWANA ninyi watakatifu wake wote! BWANA huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Explore Zaburi 31:23
8
Zaburi 31:1
Ee BWANA, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Explore Zaburi 31:1
Home
Bible
Plans
Videos