1
Zaburi 32:8
Neno: Bibilia Takatifu
Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; nitakushauri na kukuangalia.
Compare
Explore Zaburi 32:8
2
Zaburi 32:7
Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu.
Explore Zaburi 32:7
3
Zaburi 32:5
Kisha nilikujulisha dhambi yangu wala sikuficha uovu wangu. Nilisema, “Nitaungama makosa yangu kwa BWANA.” Ndipo uliponisamehe hatia ya dhambi yangu.
Explore Zaburi 32:5
4
Zaburi 32:1
Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.
Explore Zaburi 32:1
5
Zaburi 32:2
Heri mtu yule ambaye BWANA hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Explore Zaburi 32:2
6
Zaburi 32:6
Kwa hiyo kila mtu mcha Mungu akuombe wakati unapopatikana, hakika maji makuu yatakapofurika hayatamfikia yeye.
Explore Zaburi 32:6
Home
Bible
Plans
Videos