1
Zaburi 36:9
Neno: Bibilia Takatifu
Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.
Compare
Explore Zaburi 36:9
2
Zaburi 36:7
Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mbawa zako.
Explore Zaburi 36:7
3
Zaburi 36:5
Upendo wako, Ee BWANA, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Explore Zaburi 36:5
4
Zaburi 36:6
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee BWANA, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Explore Zaburi 36:6
Home
Bible
Plans
Videos