1
Zaburi 37:4
Neno: Bibilia Takatifu
Jifurahishe katika BWANA naye atakupa haja za moyo wako.
Compare
Explore Zaburi 37:4
2
Zaburi 37:5
Mkabidhi BWANA njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili
Explore Zaburi 37:5
3
Zaburi 37:7
Tulia mbele za BWANA na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.
Explore Zaburi 37:7
4
Zaburi 37:3
Mtumaini BWANA na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.
Explore Zaburi 37:3
5
Zaburi 37:23-24
Kama BWANA akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake, ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana BWANA humtegemeza kwa mkono wake.
Explore Zaburi 37:23-24
6
Zaburi 37:6
Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.
Explore Zaburi 37:6
7
Zaburi 37:8
Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu.
Explore Zaburi 37:8
8
Zaburi 37:25
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.
Explore Zaburi 37:25
9
Zaburi 37:1
Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya
Explore Zaburi 37:1
Home
Bible
Plans
Videos