1
2 Wathesalonike 2:3
Swahili Revised Union Version
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu
Compare
Explore 2 Wathesalonike 2:3
2
2 Wathesalonike 2:13
Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, ndugu mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokovu, katika kutakaswa na Roho, na kuiamini kweli
Explore 2 Wathesalonike 2:13
3
2 Wathesalonike 2:4
yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama cha kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
Explore 2 Wathesalonike 2:4
4
2 Wathesalonike 2:16-17
Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.
Explore 2 Wathesalonike 2:16-17
5
2 Wathesalonike 2:11
Kwa hiyo Mungu anawaletea upotevu mwingi, wauamini uongo
Explore 2 Wathesalonike 2:11
6
2 Wathesalonike 2:9-10
kuja kwa yule mwasi ni kazi ya Shetani, atumiaye uwezo wote, ishara na ajabu za uongo; na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.
Explore 2 Wathesalonike 2:9-10
7
2 Wathesalonike 2:7
Maana ile siri ya kuasi hivi sasa inafanya kazi; lakini yuko azuiaye sasa, hadi atakapoondolewa.
Explore 2 Wathesalonike 2:7
Home
Bible
Plans
Videos