1
Kumbukumbu la Torati 17:19
Swahili Revised Union Version
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 17:19
2
Kumbukumbu la Torati 17:17
Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.
Explore Kumbukumbu la Torati 17:17
3
Kumbukumbu la Torati 17:18
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika kitabu, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi
Explore Kumbukumbu la Torati 17:18
Home
Bible
Plans
Videos