Lakini upinde wake ukakaa imara,
Mikono yake ikapata nguvu,
Kwa mikono ya Mwenye Enzi wa Yakobo;
Kwa jina la mchungaji, yeye mwamba wa Israeli,
Naam, kwa Mungu wa baba yako atakayekusaidia;
Kwa baraka za juu mbinguni.
Baraka za vilindi vilivyo chini,
Baraka za maziwa, na za mimba.