1
Matendo 7:59-60
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Walipokuwa wanampiga kwa mawe, Stefano aliomba, akisema, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.” Alianguka kwa magoti yake na kupaza sauti, akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii!” Haya yalikuwa maneno yake ya mwisho kabla ya kufa.
Compare
Explore Matendo 7:59-60
2
Matendo 7:49
‘Bwana asema, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni sehemu ya kuweka miguu yangu. Hivyo mnadhani mnaweza kunijengea nyumba? Je! ninahitaji mahali pa kupumzika?
Explore Matendo 7:49
3
Matendo 7:57-58
Kila mmoja pale akaanza kupiga kelele, wakaziba masikio yao kwa mikono yao. Wote kwa pamoja wakamvamia Stefano. Wakamtoa nje ya mji na kuanza kumpiga kwa mawe. Mashahidi walioshuhudia uongo kinyume cha Stefano waliacha makoti yao kwa kijana aliyeitwa Sauli.
Explore Matendo 7:57-58
Home
Bible
Plans
Videos