1
Mathayo 21:22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mkiamini, mtapokea kila mnachoomba.”
Compare
Explore Mathayo 21:22
2
Mathayo 21:21
Yesu akajibu, “Ukweli ni kuwa, mkiwa na imani na msiwe na mashaka, mtaweza kufanya kama nilivyofanya kwa mti huu. Na mtaweza kufanya zaidi ya haya. Mtaweza kuuambia mlima huu, ‘Ng'oka na ujitupe baharini.’ Na ikiwa una imani, litafanyika.
Explore Mathayo 21:21
3
Mathayo 21:9
Wengine walimtangulia Yesu, na wengine walikuwa nyuma yake. Wote walipaza sauti wakisema: “Msifuni Mwana wa Daudi! ‘Karibu! Mungu ambariki yeye anayekuja katika jina la Bwana!’ Msifuni Mungu wa mbinguni!”
Explore Mathayo 21:9
4
Mathayo 21:13
Yesu aliwaambia, “Maandiko yanasema, ‘Hekalu langu litaitwa nyumba ya sala.’ Lakini mmelibadilisha na kuwa ‘maficho ya wezi’.”
Explore Mathayo 21:13
5
Mathayo 21:5
“Waambie watu wa Sayuni, ‘Mfalme wako anakuja sasa. Ni mnyenyekevu na amempanda punda. Na amempanda mwana punda dume tena safi.’”
Explore Mathayo 21:5
6
Mathayo 21:42
Yesu akawaambia, “Hakika mmesoma hili katika Maandiko: ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana amefanya hivi, na ni ajabu kubwa kwetu kuliona.’
Explore Mathayo 21:42
7
Mathayo 21:43
Hivyo ninawaambia kuwa, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na watapewa watu wanaofanya mambo anayoyataka Mungu katika ufalme wake.
Explore Mathayo 21:43
Home
Bible
Plans
Videos