1
Kumbukumbu la Sheria 15:10
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 15:10
2
Kumbukumbu la Sheria 15:11
Maana maskini hawatakosekana nchini; hivyo nawaamuru, muwe wakarimu kwa ndugu zenu wahitaji na maskini nchini mwenu.
Explore Kumbukumbu la Sheria 15:11
3
Kumbukumbu la Sheria 15:6
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawabariki kama vile alivyowaahidi. Nanyi mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa. Kadhalika mtatawala mataifa mengi, lakini mataifa hayo hayatawatawala nyinyi.
Explore Kumbukumbu la Sheria 15:6
Home
Bible
Plans
Videos