1
Kumbukumbu la Sheria 31:6
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Muwe imara na hodari, wala msiwaogope au kutishwa nao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ndiye anayekwenda pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa.”
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 31:6
2
Kumbukumbu la Sheria 31:8
Mwenyezi-Mungu ndiye anayewaongoza; yeye atakuwa pamoja nanyi; yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, msiogope wala msifadhaike.”
Explore Kumbukumbu la Sheria 31:8
3
Kumbukumbu la Sheria 31:7
Kisha Mose akamwita Yoshua, akamwambia mbele ya watu wote wa Israeli, “Uwe Imara na hodari, maana wewe utawaongoza watu hawa kwenda kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaahidi babu zao; nawe utawakabidhi waimiliki.
Explore Kumbukumbu la Sheria 31:7
Home
Bible
Plans
Videos