1
Kumbukumbu la Sheria 32:4
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
“Mwenyezi-Mungu ni Mwamba wa usalama; kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu asiye na kosa, yeye hufanya mambo ya uadilifu na ya haki.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 32:4
2
Kumbukumbu la Sheria 32:39
Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.
Explore Kumbukumbu la Sheria 32:39
3
Kumbukumbu la Sheria 32:3
Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’.
Explore Kumbukumbu la Sheria 32:3
Home
Bible
Plans
Videos