1
Mattayo MT. 17:20
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akawaambia, Kwa sababu ya kutokuamini kwenu. Kwa maana, amin, nawaambieni, Mkiwa na imani kama punje ya kharadali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa hatta kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
Compare
Explore Mattayo MT. 17:20
2
Mattayo MT. 17:5
Alipokuwa akisema, wingu jeupe likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, niliyependezwa nae; msikieni yeye.
Explore Mattayo MT. 17:5
3
Mattayo MT. 17:17-18
Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini na kipotofu, nitakuwa pamoja nanyi hatta lini? Nitachukuliana nanyi hatta lini? Mleteni huku kwangu. Yesu akamkaripia pepo, akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile.
Explore Mattayo MT. 17:17-18
Home
Bible
Plans
Videos