1
Mattayo MT. 18:20
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa kuwa wawili au watatu walipo wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Compare
Explore Mattayo MT. 18:20
2
Mattayo MT. 18:19
Tena nawaambieni, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
Explore Mattayo MT. 18:19
3
Mattayo MT. 18:2-3
Yesu akaita kitoto, akamweka katikati yao, akasema, Amin, nawaambieni, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kabisa katika ufalme wa mbinguni.
Explore Mattayo MT. 18:2-3
4
Mattayo MT. 18:4
Bassi, ye yote anyenyekeae kama kitoto hiki, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Explore Mattayo MT. 18:4
5
Mattayo MT. 18:5
Na ye yote atakaepokea kitoto kimoja mfano wa hiki kwa jina langu, anipokea mimi
Explore Mattayo MT. 18:5
6
Mattayo MT. 18:18
Amin, nawaambieni, Yo yote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Explore Mattayo MT. 18:18
7
Mattayo MT. 18:35
Vivyo hivyo na Baba yangu wa mbinguni atawatenda ninyi, kama ninyi kwa mioyo yenu hamkusamehe killa mtu ndugu yake makosa yake.
Explore Mattayo MT. 18:35
8
Mattayo MT. 18:6
bali atakaekosesha mmoja wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Explore Mattayo MT. 18:6
9
Mattayo MT. 18:12
Mwaonaje? mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je, hawaachi wale tissa na tissaini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?
Explore Mattayo MT. 18:12
Home
Bible
Plans
Videos