1
Yohana 3:16
Swahili Roehl Bible 1937
*Kwani kwa hivyo, Mungu alivyoupenda ulimwengu, alimtoa Mwana wake wa pekee, kila amtegemeaye asiangamie, ila apate uzima wa kale na kale.
Compare
Explore Yohana 3:16
2
Yohana 3:17
Kwani Mungu hakumtuma Mwana wake ulimwenguni, auhukumu ulimwengu, ila ulimwengu upate kuokolewa naye.
Explore Yohana 3:17
3
Yohana 3:3
Yesu akajibu, akamwambia: Kweli kweli nakuambia: Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
Explore Yohana 3:3
4
Yohana 3:18
Amtegemeaye hahukumiwi; asiyemtegemea amekwisha kuhukumiwa, kwani hakulitegemea Jina la Mwana wa Pekee wa Mungu
Explore Yohana 3:18
5
Yohana 3:19
Nayo hukumu ndiyo hii: mwanga ulikuja ulimwenguni, lakini watu waliipenda giza kuliko mwanga, kwa sababu matendo yao yalikuwa mabaya
Explore Yohana 3:19
6
Yohana 3:30
Yeye sharti akue, nami sharti nipunguke.
Explore Yohana 3:30
7
Yohana 3:20
kwani kila mwenye kutenda maovu huuchukia mwanga, haji mwangani, matendo yake yasipatilizwe
Explore Yohana 3:20
8
Yohana 3:36
Amtegemeaye Mwana anao uzima wa kale na kale, lakini asiyemtii Mwana hataona uzima, ila makali ya Mungu humkalia.
Explore Yohana 3:36
9
Yohana 3:14
Kama Mose alivyokweza nyoka jangwani, vivyo hivyo hata Mwana wa mtu sharti akwezwe
Explore Yohana 3:14
10
Yohana 3:35
Baba humpenda Mwana, akampa yote mkononi mwake.
Explore Yohana 3:35
Home
Bible
Plans
Videos