1
Yohana 4:24
Swahili Roehl Bible 1937
Mungu ni Roho, nao wanaomtambikia imewapasa kumtambikia kiroho na kikweli.*
Compare
Explore Yohana 4:24
2
Yohana 4:23
Lakini saa inakuja, tena sasa iko, wenye kutambika kweli watakapomtambikia Baba kiroho na kikweli, kwani naye Baba huwataka wanaomtambikia hivyo.
Explore Yohana 4:23
3
Yohana 4:14
lakini atakayeyanywa maji, nitakayompa mimi, hataona kiu kale na kale. Ila maji yale, nitakayompa, yatakuwa mwilini mwake chemchemi ya maji yabubujikayo, yamfikishe penye uzima wa kale na kale.*
Explore Yohana 4:14
4
Yohana 4:10
Yesu akajibu, akamwambia: Kama ungekijua kipaji cha Mungu, tena kama ungemjua anayekuambia: Nipe, ninywe! wewe ungemwomba, naye angekupa maji yenye uzima.
Explore Yohana 4:10
5
Yohana 4:34
Yesu akawaambia: Chakula changu ni kuyafanya, ayatakayo yeye aliyenituma, niimalize kazi yake.
Explore Yohana 4:34
6
Yohana 4:11
Akamwambia: Bwana, hunacho cha kutekea, nacho kisima ni kirefu, basi, utayapata wapi hayo maji yenye uzima?
Explore Yohana 4:11
7
Yohana 4:25-26
Ndipo, yule mwanamke alipomwambia: Najua, ya kuwa Masiya anakuja anayeitwa Kristo; yeye atakapokuja atatufunulia yote. Yesu akamwambia: Mimi ndiye ninayesema nawe.
Explore Yohana 4:25-26
8
Yohana 4:29
Njoni, mtazame mtu aliyeniambia yote, niliyoyafanya, kama yeye siye Kristo!
Explore Yohana 4:29
Home
Bible
Plans
Videos