1
Mhubiri 4:9-10
Biblia Habari Njema
Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao. Ikijatokea mmoja akaanguka, huyo mwenzake atamwinua. Lakini ole wake aliye peke yake akianguka! Huyo hatakuwa na mtu wa kumwinua!
Compare
Explore Mhubiri 4:9-10
2
Mhubiri 4:12
Mtu akiwa peke yake aweza kushindwa na adui, lakini wakiwa wawili watamkabili na kumshinda adui. Kamba tatu zikisokotwa pamoja hazikatiki kwa urahisi.
Explore Mhubiri 4:12
3
Mhubiri 4:11
Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto?
Explore Mhubiri 4:11
4
Mhubiri 4:6
Ni afadhali kuwa na kidogo tu, pamoja na amani moyoni, kuliko kuwa na mengi, pamoja na taabu; sawa tu na kufukuza upepo.
Explore Mhubiri 4:6
5
Mhubiri 4:4
Tena niligundua kwamba juhudi zote za mtu na ujuzi wake katika kazi vyatokana na kuoneana wivu. Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo.
Explore Mhubiri 4:4
6
Mhubiri 4:13
Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hasikilizi shauri jema
Explore Mhubiri 4:13
Home
Bible
Plans
Videos