YouVersion Logo
Search Icon

1 Petro 4:12-13

1 Petro 4:12-13 SRUV

Wapenzi, msione kuwa ni ajabu ule msiba ulio kati yenu, unaowapata kama moto ili kuwajaribu, kana kwamba ni kitu kigeni kiwapatacho. Lakini kama mnavyoyashiriki mateso ya Kristo, furahini; ili pia katika ufunuo wa utukufu wake mfurahi kwa shangwe.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Petro 4:12-13