Yohana 19:33-34
Yohana 19:33-34 NENO
Lakini walipomkaribia Isa, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake. Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni, na mara pakatoka damu na maji.