1
Luka 10:19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yeye ndiye adui, lakini tambueni kuwa nimewapa mamlaka zaidi yake. Nimewapa mamlaka ya kuponda nyoka na nge zake kwa miguu yenu. Hakuna kitakachowadhuru.
Compara
Explorar Luka 10:19
2
Luka 10:41-42
Lakini Bwana akamjibu, “Martha, Martha, unasumbuka na kuhangaika kwa shughuli nyingi. Lakini kitu kimoja tu ndicho cha lazima. Mariamu amefanya uchaguzi sahihi na kamwe hautachukuliwa kutoka kwake.”
Explorar Luka 10:41-42
3
Luka 10:27
Yule mwana sheria akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote.’ Pia ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’”
Explorar Luka 10:27
4
Luka 10:2
Aliwaambia, “Kuna mavuno mengi ya watu wa kuwaingiza katika Ufalme wa Mungu. Lakini watenda kazi wa kuwaingiza katika ufalme wa Mungu ni wachache. Mungu anamiliki mavuno. Mwombeni ili atume watenda kazi wengi ili wasaidie kuyaingiza mavuno yake.
Explorar Luka 10:2
5
Luka 10:36-37
Kisha Yesu akasema, “Ni yupi kati ya hawa watu watatu unadhani hakika alikuwa jirani wa yule mtu aliyepigwa na majambazi?” Mwanasheria akajibu, “Ni yule aliyemsaidia.” Yesu akasema, “Basi nenda ukafanye kama alivyofanya.”
Explorar Luka 10:36-37
6
Luka 10:3
Mnaweza kwenda sasa. Lakini sikilizeni! Ninawatuma na mtakuwa kama kondoo katikati ya mbwa mwitu.
Explorar Luka 10:3
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos