Yohana MT. 9:39

Yohana MT. 9:39 SWZZB1921

Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, illi wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.