Navyo vilivyokuwa siku za Noa, ndivyo vitakavyokuwa hata siku zile za Mwana wa mtu. Walikuwa wakila, hata wakinywa, walikuwa wakioa, hata wakiozwa mpaka siku, Noa alipoingia katika chombo kikubwa, yakaja mafuriko makubwa ya maji, yakawaangamiza wote.