Luka MT. 20:46-47

Luka MT. 20:46-47 SWZZB1921

Jihadharini na waandishi wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni, na kuketi mbele katika sunagogi, na mahali palipo mbele katika karamu. Wanakula nyumba za wajane: na kwa unafiki husali sala ndefu. Hawo watapokea hukumu iliyo kubwa zaidi.

مطالعه Luka MT. 20