Mattayo MT. 6:16-18

Mattayo MT. 6:16-18 SWZZB1921

Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana: maana hujiumbua nyuso zao, illi waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambieni, wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe nso; illi usionekane na watu kuwa unafunga, bali na Baba yako aliye kwa siri; na Baba yako, aonae kwa siri, atakujazi kwa dhahiri.

مطالعه Mattayo MT. 6