Mattayo MT. 6:19-21

Mattayo MT. 6:19-21 SWZZB1921

Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu ziharibupo, na wevi huvunja na kuiba: bali jiwekeeni hazina mbinguni, zisikobaribu nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala kuiba; kwa maana ilipo hazina yenu, ndipo utakapokuwa na moyo wako.

مطالعه Mattayo MT. 6