Luka 18:7-8
Luka 18:7-8 SRB37
Naye Mungu asiwaamulie aliowachagua, wakimlilia mchana na usiku? Au atawakawilia? Nawaambiani: Atawaamulia upesi. Mwasemaje? Mwana wa mtu atakapokuja ataona wanaomtegemea nchini?