1
Luka 15:20
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Hivyo akaondoka na kurudi kwa baba yake. Alipokuwa mbali na nyumbani kwao, baba yake alimwona, akamwonea huruma. Akamkimbilia, akamkumbatia na kumbusu sana.
Usporedi
Istraži Luka 15:20
2
Luka 15:24
Kwa sababu mwanangu alikuwa amekufa, lakini sasa yuko hai tena! Alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.’ Wakaanza kusherehekea.
Istraži Luka 15:24
3
Luka 15:7
Katika namna hiyo hiyo ninawaambia, kunakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mtu anayeacha dhambi zake. Kuna furaha zaidi kwa ajili ya mtu mmoja anayeacha dhambi kuliko watu wema tisini na tisa ambao hudhani hawahitaji kubadilika.
Istraži Luka 15:7
4
Luka 15:18
Nitaondoka na kurudi kwa baba yangu. Nitamwambia hivi: Baba, nimemtenda Mungu dhambi na nimekukosea wewe.
Istraži Luka 15:18
5
Luka 15:21
Mwanaye akasema, ‘Baba, nimemtenda Mungu dhambi na nimekukosea wewe; sistahili kuitwa mwanao tena.’
Istraži Luka 15:21
6
Luka 15:4
“Chukulia mmoja wenu ana kondoo mia, lakini mmoja akapotea. Utafanya nini? Utawaacha wale tisini na tisa na kwenda kumtafuta yule mmoja aliyepotea mpaka umpate.
Istraži Luka 15:4
Početna
Biblija
Planovi
Filmići