1
Luka 19:10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mwana wa Adamu alikuja kuwatafuta na kuwaokoa watu waliopotea.”
Usporedi
Istraži Luka 19:10
2
Luka 19:38
Walisema, “Karibu! Mungu ambariki mfalme anayekuja kwa jina la Bwana! Amani iwe mbinguni, na utukufu kwa Mungu!”
Istraži Luka 19:38
3
Luka 19:9
Yesu akasema, “Leo ni siku kwa ajili ya familia hii kuokolewa kutoka katika dhambi. Ndiyo, hata mtoza ushuru huyu ni mmoja wa wateule wa Mungu.
Istraži Luka 19:9
4
Luka 19:5-6
Yesu alipofika mahali alipokuwa Zakayo, alitazama juu na kumwona akiwa kwenye mti. Yesu akasema, “Zakayo, shuka upesi! Ni lazima nikae nyumbani mwako leo.” Zakayo alishuka chini haraka. Alifurahi kuwa na Yesu nyumbani mwake.
Istraži Luka 19:5-6
5
Luka 19:8
Zakayo akamwambia Bwana, “Sikiliza Bwana nitawapa maskini nusu ya pesa zangu. Ikiwa nilimdhulumu mtu yeyote, nitamrudishia mara nne zaidi.”
Istraži Luka 19:8
6
Luka 19:39-40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika kundi wakamwambia Yesu, “Mwalimu, waambie wafuasi wako wasiseme mambo haya!” Lakini Yesu akawajibu, “Ninawaambia ikiwa wafuasi wangu wasingesema, mawe haya yangesema kwa kupaza sauti!”
Istraži Luka 19:39-40
Početna
Biblija
Planovi
Filmići