YouVersion logo
Ikona pretraživanja

Yohana 14:13-14

Yohana 14:13-14 TKU

Na kama mtaomba jambo lo lote kwa jina langu, nitawafanyia. Kisha utukufu wa Baba utadhihirishwa kupitia kwa Mwana wake. Ikiwa mtaniomba chochote kwa jina langu, mimi nitakifanya.