YouVersion logo
Ikona pretraživanja

Luka 24:2-3

Luka 24:2-3 TKU

Walikuta jiwe kubwa lililokuwa limeziba mlango wa kaburi limevingirishwa kutoka kwenye mlango wa kaburi. Waliingia kaburini, lakini hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.