Mwanzo 2:18

Mwanzo 2:18 NMM

BWANA Mwenyezi Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”