1
Luka 22:42
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
“Baba, ukiwa radhi, tafadhali usinifanye ninywe katika kikombe hiki. Lakini fanya unalotaka wewe, siyo ninalotaka mimi.”
Համեմատել
Ուսումնասիրեք Luka 22:42
2
Luka 22:32
nimekuombea ili usipoteze imani yako! Wasaidie ndugu zako kuwa imara utakaponirudia.”
Ուսումնասիրեք Luka 22:32
3
Luka 22:19
Kisha akaichukua baadhi ya mkate na akamshukuru Mungu. Akaigawa vipande vipande, akawapa vipande mitume na kusema, “Mkate huu ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili yenu. Kuleni kwa kunikumbuka.”
Ուսումնասիրեք Luka 22:19
4
Luka 22:20
Katika namna ile ile, baada ya kula chakula, Yesu akachukua kikombe chenye divai na akasema, “Divai hii inawakilisha Agano Jipya kutoka kwa Mungu kwa watu wake. Litaanza pale damu yangu itakapomwagika kwa ajili yenu.”
Ուսումնասիրեք Luka 22:20
5
Luka 22:44
Yesu aliomba kwa nguvu zaidi na kustahimili zaidi kama mpiganaji wa mieleka akiwa katika mapambano makali. Jasho kama matone ya damu likadondoka kutoka kwenye uso wake.
Ուսումնասիրեք Luka 22:44
6
Luka 22:26
Lakini ni lazima msiwe hivyo. Aliye na mamlaka zaidi miongoni mwenu lazima awe kama asiye na mamlaka. Anayeongoza anapaswa kuwa kama anayetumika.
Ուսումնասիրեք Luka 22:26
7
Luka 22:34
Lakini Yesu akasema, “Petro, asubuhi kabla jogoo hajawika, utakuwa umenikana mara tatu.”
Ուսումնասիրեք Luka 22:34
Գլխավոր
Աստվածաշունչ
Ծրագրեր
Տեսանյութեր