1
Luka 19:10
Neno: Maandiko Matakatifu
Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.”
Bandingkan
Telusuri Luka 19:10
2
Luka 19:38
“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana Mwenyezi Mungu!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”
Telusuri Luka 19:38
3
Luka 19:9
Ndipo Isa akamwambia, “Leo, wokovu umeingia nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.
Telusuri Luka 19:9
4
Luka 19:5-6
Isa alipofika pale chini ya huo mkuyu, akatazama juu, akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, kwa maana leo nitakuwa mgeni nyumbani kwako!” Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani kwake kwa furaha kubwa.
Telusuri Luka 19:5-6
5
Luka 19:8
Lakini Zakayo akasimama na kumwambia Bwana Isa, “Tazama, Bwana! Sasa hivi nusu ya mali yangu ninawapa maskini, nami kama nimemdhulumu mtu yeyote kitu chochote, nitamrudishia mara nne ya hicho kiwango.”
Telusuri Luka 19:8
6
Luka 19:39-40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.” Isa akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
Telusuri Luka 19:39-40
Beranda
Alkitab
Rencana
Video