1
Yohana 8:12
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kisha Isa akasema nao tena, akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata, hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”
Confronta
Esplora Yohana 8:12
2
Yohana 8:32
Ndipo mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru.”
Esplora Yohana 8:32
3
Yohana 8:31
Kisha Isa akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Esplora Yohana 8:31
4
Yohana 8:36
Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
Esplora Yohana 8:36
5
Yohana 8:7
Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
Esplora Yohana 8:7
6
Yohana 8:34
Isa akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.
Esplora Yohana 8:34
7
Yohana 8:10-11
Isa akainuka na kumwambia, “Mwanamke, wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?” Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja, Bwana.” Isa akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako. Kuanzia sasa usitende dhambi tena.”]
Esplora Yohana 8:10-11
Home
Bibbia
Piani
Video