Logo YouVersion
Icona Cerca

Mattayo MT. 7:15-16

Mattayo MT. 7:15-16 SWZZB1921

Jihadharini na manabii wa uwongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa wa mwitu wakali. Mtawalambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?