Logo ya YouVersion
Elilingi ya Boluki

1 Mose 8:21-22

1 Mose 8:21-22 SRB37

Bwana aliposikia huo mnuko wa kumpendeza Bwana akasema moyoni mwake: Sitaiapiza nchi tena kwa ajili ya watu, kwani mawazo ya mioyo ya watu ni mabaya tangu utoto wao, wala sitawapiga tena wote walio hai, kama nilivyofanya. Siku zote, nchi itakazokuwapo, hakutakoma tena kupanda na kuvuna, baridi na jua kali, kipupwe na kiangazi, mchana na usiku.