Лого на YouVersion
Икона за пребарување

Mwanzo 1:9-10

Mwanzo 1:9-10 NMM

Mwenyezi Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo. Mwenyezi Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mwenyezi Mungu akaona kuwa ni vyema.

Бесплатни планови за читање и побожни текстови поврзани со Mwanzo 1:9-10