Mathayo 24:9-11
Mathayo 24:9-11 TKU
Kisha mtakamatwa na kupelekwa kwa wenye mamlaka ili mhukumiwe na kuuawa. Watu wote katika ulimwengu watawachukia kwa sababu mnaniamini mimi. Nyakati hizo watu wengi wataacha kuwa wafuasi wangu. Watasalitiana na kuchukiana. Manabii wengi watatokea na kusababisha watu wengi kuamini mambo yasiyo ya kweli.