1
Mwanzo 12:2-3
Neno: Bibilia Takatifu
“Mimi nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka. Nitawabariki wale wanaokubariki, na yeyote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
ႏွိုင္းယွဥ္
Mwanzo 12:2-3ရွာေဖြေလ့လာလိုက္ပါ။
2
Mwanzo 12:1
BWANA akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha.
Mwanzo 12:1ရွာေဖြေလ့လာလိုက္ပါ။
3
Mwanzo 12:4
Hivyo Abramu akaondoka kama BWANA alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano.
Mwanzo 12:4ရွာေဖြေလ့လာလိုက္ပါ။
4
Mwanzo 12:7
BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu BWANA aliyekuwa amemtokea.
Mwanzo 12:7ရွာေဖြေလ့လာလိုက္ပါ။
ပင္မစာမ်က္ႏွာ
သမၼာက်မ္းစာ
အစီအစဥ္မ်ား
ဗီဒီယိုမ်ား