1
1 Mose 14:20
Swahili Roehl Bible 1937
Atukuzwe naye Mungu alioko huko juu, kwa kuwa amewatia adui zako mkononi mwako! Ndipo Aburamu alipompa fungu la kumi la mali zote, alizokuwa nazo.
Porównaj
Przeglądaj 1 Mose 14:20
2
1 Mose 14:18-19
Naye Melkisedeki, mfalme wa Salemu, akamotolea mkate na mvinyo, naye alikuwa mtambikaji wa Mungu alioko huko juu. Akambariki na kusema: Aburamu na atukuzwe kwa kuwa wake Mungu, mwenye mbingu naa nchi!
Przeglądaj 1 Mose 14:18-19
3
1 Mose 14:22-23
Lakini Aburamu akamwambia mfalme wa Sodomu: Mkono wangu namnyoshea Bwana Mungu alioko huko juu, aliye mwenye mbingu na nchi, kwamba: Katika mali zote zilizo zako sitachukua uzi wala kikanda tu cha kiatu, usiseme: Aburamu mali zake nyingi nimempa mimi.
Przeglądaj 1 Mose 14:22-23
Strona główna
Biblia
Plany
Nagrania wideo