1
Mwanzo 12:2-3
Neno: Maandiko Matakatifu
“Mimi nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka. Nitawabariki wale wanaokubariki, na yeyote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
Сравнить
Изучить Mwanzo 12:2-3
2
Mwanzo 12:1
BWANA akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha.
Изучить Mwanzo 12:1
3
Mwanzo 12:4
Hivyo Abramu akaondoka kama BWANA alivyokuwa amemwambia; naye Lutu akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano.
Изучить Mwanzo 12:4
4
Mwanzo 12:7
BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu BWANA aliyekuwa amemtokea.
Изучить Mwanzo 12:7
Главная
Библия
Планы
Видео