Logo YouVersion
Ikona Hľadať

1 Mose 1:9-10

1 Mose 1:9-10 SRB37

Mungu akasema: Maji yaliyoko chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, pakavu paonekane! Yakawa hivyo. Mungu akapaita pakavu nchi, nalo kusanyiko la maji akaliita bahari. Mungu akayaona kuwa mema.