YouVersion logo
Dugme za pretraživanje

Yohana 2:7-8

Yohana 2:7-8 ONMM

Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo; mpelekeeni mkuu wa sherehe.” Hivyo wakachota, wakampelekea.